Nawaona sasa tecno wamejirekebisha, toleo la Tecno spark K7 ni tishio lingine kutoka kwao

Kwenye battery bado maana wenzake infinix wana better ya 4500 wao bado 3000 halafu matumizi ya smartphone
 
Hii simu ni toleo jipya kabisa la tecno na imeingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane mwishoni na hapa tz imeanza kuuzwa kuanzia mwezi uliopita

Nawaona sasa tecno wakirudi kwa kasi na wanaanza kurudisha heshima yao iliyopotea kwa mda mrefu kutokana na kutoa matoleo mengi ambayo hayana uimara

Hii spark 7 kwa muundo wa nnje ipo kama iphone 7
cf346826c5002c7c72a9360ccabcb8e1.jpg

97fc934ee6851650060d90b29b502103.jpg
c44027bfa65ec2aaf2af28383ed88b30.jpg
View attachment 626702

Pia imetengenezwa katika ubora wa hali ya juu ikiongezwa na finger detection kwa nyuma kwa ajili ya security, pia wameboresha ubora wa battery ambayo inakaa kwa muda mrefu sana

Pia camera yake ya mbele na ya nyuma zote zipo vizuri sana ,kwa kutoa picha zenye quality kubwa, na kuhusu kasi ya internet ndio balaa

=================

TECNO Spark K7 Specifications
Display
Type IPS LCD
Size 5.5"
Resolution 1280*720
Protection None
Platform
Operating System HiOS 2.0 on top of Android 7.0 Nougat
Chipset Unknown
CPU Quad-Core 1.3GHz
GPU Unknown
Memory
RAM 1GB
Internal 16GB
External microSD, up to 32GB
Network
Technology 3G
SIM Dual SIM
Camera
Main 13MP
Front 5MP
Battery
Size 3000mAh
Type Li-Ion
Colors Phantom Black, Metallic Red, Champagne Gold, Coral Blue
Features Fingerprint (rear-mounted)
Ujinga mtupu,yani kwako ww hizo ndo sifa zinazokufaa Kwa cm?....TECNO bado sana mkuu,jaribu kulinganisha hizo sifa japo hata na Samsung j7 prime uone.
 
Mkuu hizo 4g zenu ni geresha tu

Jana nlikuwa nadownload movie through torrent mzigo wa mb700 kwa speed ya 2mb kwa second nimeushusha kwa dakika nane tu
Kwa kutumia cm gani mkuu?,na mtandao gani Wa cm na cc tujaribu?
 
Hivi vitu vya Electronics viacheni tuu vipite
Kuna mtu aliweza kun'gamua kama Nokia ingetoka kabisa sokoni ?
Katika soko la Tv nani labda angeweza kuhisi brands kama Sony, Hitach, Panasonic na Toshiba zingefunikwa
 
Hii simu ni toleo jipya kabisa la tecno na imeingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane mwishoni na hapa tz imeanza kuuzwa kuanzia mwezi uliopita

Nawaona sasa tecno wakirudi kwa kasi na wanaanza kurudisha heshima yao iliyopotea kwa mda mrefu kutokana na kutoa matoleo mengi ambayo hayana uimara

Hii spark 7 kwa muundo wa nnje ipo kama iphone 7
cf346826c5002c7c72a9360ccabcb8e1.jpg

97fc934ee6851650060d90b29b502103.jpg
c44027bfa65ec2aaf2af28383ed88b30.jpg
View attachment 626702

Pia imetengenezwa katika ubora wa hali ya juu ikiongezwa na finger detection kwa nyuma kwa ajili ya security, pia wameboresha ubora wa battery ambayo inakaa kwa muda mrefu sana

Pia camera yake ya mbele na ya nyuma zote zipo vizuri sana ,kwa kutoa picha zenye quality kubwa, na kuhusu kasi ya internet ndio balaa

=================

TECNO Spark K7 Specifications
Display
Type IPS LCD
Size 5.5"
Resolution 1280*720
Protection None
Platform
Operating System HiOS 2.0 on top of Android 7.0 Nougat
Chipset Unknown
CPU Quad-Core 1.3GHz
GPU Unknown
Memory
RAM 1GB
Internal 16GB
External microSD, up to 32GB
Network
Technology 3G
SIM Dual SIM
Camera
Main 13MP
Front 5MP
Battery
Size 3000mAh
Type Li-Ion
Colors Phantom Black, Metallic Red, Champagne Gold, Coral Blue
Features Fingerprint (rear-mounted)
Simu ya kawaida kabisa hii. Hakuna kilichobadilika
 
Yes, Nokia ya Tochi ninayo, a must have feature phone. Inamaana haujuwi ni kwanini TECNO zinauzika sana Africa?....fikiria tena utapata jibu. Wanafunzi na waalimu zinawaokoeni lakini. No offence.
....You must be very stupid
 
Hii simu ni toleo jipya kabisa la tecno na imeingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane mwishoni na hapa tz imeanza kuuzwa kuanzia mwezi uliopita

Nawaona sasa tecno wakirudi kwa kasi na wanaanza kurudisha heshima yao iliyopotea kwa mda mrefu kutokana na kutoa matoleo mengi ambayo hayana uimara

Hii spark 7 kwa muundo wa nnje ipo kama iphone 7
cf346826c5002c7c72a9360ccabcb8e1.jpg

97fc934ee6851650060d90b29b502103.jpg
c44027bfa65ec2aaf2af28383ed88b30.jpg
View attachment 626702

Pia imetengenezwa katika ubora wa hali ya juu ikiongezwa na finger detection kwa nyuma kwa ajili ya security, pia wameboresha ubora wa battery ambayo inakaa kwa muda mrefu sana

Pia camera yake ya mbele na ya nyuma zote zipo vizuri sana ,kwa kutoa picha zenye quality kubwa, na kuhusu kasi ya internet ndio balaa

=================

TECNO Spark K7 Specifications
Display
Type IPS LCD
Size 5.5"
Resolution 1280*720
Protection None
Platform
Operating System HiOS 2.0 on top of Android 7.0 Nougat
Chipset Unknown
CPU Quad-Core 1.3GHz
GPU Unknown
Memory
RAM 1GB
Internal 16GB
External microSD, up to 32GB
Network
Technology 3G
SIM Dual SIM
Camera
Main 13MP
Front 5MP
Battery
Size 3000mAh
Type Li-Ion
Colors Phantom Black, Metallic Red, Champagne Gold, Coral Blue
Features Fingerprint (rear-mounted)
Hapo kwenye chipset kwanini unknown?
 
thread ya pili hii, ile ya kwanza umeikimbia, hii simu ipo overpriced kwa kitu unachopata, tulishaizungumzia huko nyuma, kwa bei zaidi ya laki 2 simu yenye 1GB ram, bila 4G sidhani kama ni kitu kizuri.

hata kile kimeo cha samsung grand prime plus kina specs nzuri kuliko hii,

kama upo budget kama hii tafuta tu xiaomi redmi note 4A utapata ram 2GB angalau na wewe u enjoy android. utapata 4G, soc nzuri ya snapdragon 425, na tena unaweza ipata bei rahisi zaidi.
Chief Mkwawa hizi simu za xiaomi zinapatina hapa bongo?
 
Hivi simu ya line mbili inaweza kuwa bora mpaka kuifungulia uzi jf?
Samahani mkuu mimi sio mzoefu sana katika haya.

Hizi simu ikiwa na laini mbili inapungua ubora?

Maana nilikuwa najichanga ili nipate zilipendwa galaxy s5 duos!
 
tekno ni simu nzuri sana sema niliitumiaga kipindi kile nasoma na kabla sijajiajiri
 
Mkuu umelipwa uwafanyie promo nini...mimi tecno hata waje na toleo gani siwez nunua hizo simu sinaga mzuka nazo kabisaaa yani ziko local sana hazina hadhi kwa mtu wa heshma. Yani ni sawa na kuendesha kikao pale magogoni afu wajumbe wanakunywa maji ya udzungwa au uhai. Na ndio maana unaona mara zote maji yanayotumika pale ni KILIMANJARO PURE DRINKING WOTER yana hadhi yake. Kwangu mimi simu za tecno wanatumia madreva wa bodaboda asilimia kubwa ndio zimetapakaa kwa hiyo jamii. Sumsung wanatumia watu wa maisha ya kati yenye hadhi flani na iphone wanatumia majemedali wenye fedha zao na hadhi zao huwezi kuta dangote anatumia tecno spark k 7. Hadhi ya tecno bado ipo chini sana. Samahani kwa watumiaji wa tecno kama nitakuwa nimewakwaza ni mtazamo tu na maoni yangu ya leo baada ya kushiba supu ya samaki na chapati 3 nikaona sina pakumalizia bando langu.
 
Hii simu ni toleo jipya kabisa la tecno na imeingia sokoni mwaka huu mwezi wa nane mwishoni na hapa tz imeanza kuuzwa kuanzia mwezi uliopita

Nawaona sasa tecno wakirudi kwa kasi na wanaanza kurudisha heshima yao iliyopotea kwa mda mrefu kutokana na kutoa matoleo mengi ambayo hayana uimara

Hii spark 7 kwa muundo wa nnje ipo kama iphone 7
cf346826c5002c7c72a9360ccabcb8e1.jpg

97fc934ee6851650060d90b29b502103.jpg
c44027bfa65ec2aaf2af28383ed88b30.jpg
View attachment 626702

Pia imetengenezwa katika ubora wa hali ya juu ikiongezwa na finger detection kwa nyuma kwa ajili ya security, pia wameboresha ubora wa battery ambayo inakaa kwa muda mrefu sana

Pia camera yake ya mbele na ya nyuma zote zipo vizuri sana ,kwa kutoa picha zenye quality kubwa, na kuhusu kasi ya internet ndio balaa

=================

TECNO Spark K7 Specifications
Display
Type IPS LCD
Size 5.5"
Resolution 1280*720
Protection None
Platform
Operating System HiOS 2.0 on top of Android 7.0 Nougat
Chipset Unknown
CPU Quad-Core 1.3GHz
GPU Unknown
Memory
RAM 1GB
Internal 16GB
External microSD, up to 32GB
Network
Technology 3G
SIM Dual SIM
Camera
Main 13MP
Front 5MP
Battery
Size 3000mAh
Type Li-Ion
Colors Phantom Black, Metallic Red, Champagne Gold, Coral Blue
Features Fingerprint (rear-mounted)

Tecno bado wanatoa simu za 3G? Kweli wamepitwa na wakati.
 
Nimeshindwa kabisa kutumia TECNO, inatia kinyaa! Sorry.
Ni mara elfu moja hiyo laki 3 utafute simu hata used iPhone 5s kuliko kununua TECNO, hata samsung note 2 ni angalau mara mia kuliko these silly TECNOs. Xiaomi ni mbadala mzuri pia wa simu za bei chini.

Usiiweke Xiaomi kwenye kundi moja na Tecno, Xiaomi ni ya kuweka kundi moja na iPhone, Samsung, LG, Hiawei.
 
Kwa betry kama Tecno L9 plus ni kiboko. mAh 5000, hizo Samsung wananunua urembo tu, kwenye betry ni vimeo, wanatembea na power bank ni kama wamekuwa vituo vya kufua umeme.
Kabisa mkuu wapo watu wao ni muhimu kumiliki kitu cha kipee huo ni utashi, mfano watanzania wengi wakianza kumiliki sumsung ooh ataanza kuona inapondwa vibaya,makampuni haya makubwa yanajua kucheza na saikolojia ya wanunuzi.
Chukua tecno phantom 6+ ambayo ni wastani wa 600,000 na samsung yenye specification sawa na hiyo inagonga mara mbili na zaidi.
Kiuhalisia ni kuwa makampuni yote ya simu hayatengenezi vifaa muhimu vya simu ksma CPU,SCREEN,CAMERA Nk wote wananunua kwenye makampuni gwiji ya utengenezaji wa vifaa hivyo.
Mengine yanabaki kuwa utashi wa mteja unshela ya kuchezea au unataka kusave na albaki ufanyie mambo mengine kwa usawa huu wa magu.
 
Mkuu 7000mah zote hizo za nn. Huo uzito wa hyo simu si utachana mfuko
Mimi ninayo ya 5500 ah nikitumia fully ni masaa 12 bado naona hainitoshi ningepata ya kwenda masaa 20 Kwa siku ikifika usiku naiweka chaji ingekuwa poa.
 
Mkuu umelipwa uwafanyie promo nini...mimi tecno hata waje na toleo gani siwez nunua hizo simu sinaga mzuka nazo kabisaaa yani ziko local sana hazina hadhi kwa mtu wa heshma. Yani ni sawa na kuendesha kikao pale magogoni afu wajumbe wanakunywa maji ya udzungwa au uhai. Na ndio maana unaona mara zote maji yanayotumika pale ni KILIMANJARO PURE DRINKING WOTER yana hadhi yake. Kwangu mimi simu za tecno wanatumia madreva wa bodaboda asilimia kubwa ndio zimetapakaa kwa hiyo jamii. Sumsung wanatumia watu wa maisha ya kati yenye hadhi flani na iphone wanatumia majemedali wenye fedha zao na hadhi zao huwezi kuta dangote anatumia tecno spark k 7. Hadhi ya tecno bado ipo chini sana. Samahani kwa watumiaji wa tecno kama nitakuwa nimewakwaza ni mtazamo tu na maoni yangu ya leo baada ya kushiba supu ya samaki na chapati 3 nikaona sina pakumalizia bando langu.
Bora wewe umenena kilicho kweli asante,Tecno wako wazi katika hili kampuni ilianzishwa ikiwa imelenga kuwafikia watu wote kama ilivyokuwa Nokia.
Kutengeneza vitu vilivyo na thamani sawa kiteknolojia kwa gharama ndogo, lengo likiwa teknolojia imfikie kila binadamu kwa ubora uleule bila kuwepo na mipaka ya kipato.
Hebu tujiulize bila kampuni kama tekno deleva wa bodaboda angeweza kumiliki simu mfano yenye kamela 16mp mbele na nyuma, fingerprint,RAM 3GB ROM16. Kwa thamani ya 3.9 elfu tu?
Tecno wanajari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom