Nawaomben msaada kwa ajuae.

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Anaezijua tabia za mabinti wa kipemba anisaidie couse nataka nend Pemba kutafuta my waif wa kipemba but c wajui tabia zao than mi ni mtanganyika je 2tawezana? USHAURI.
 
wee ni muislam kama ndio unaswali kama ndio first kule kwetu pemba kwanza kabla hujamuoa mke inakubidi muende kupima hiv nyote wawili jee uko tayari kama uko tayari njoo nikuozeshe dada angu ana miaka 23 sijui wee una mingapi amemaliza form4 2011 kutokana n hali ya maisha hatukuweza kumwendeleza na masomo kwa sasa yupo nyumbani na familia
sifa za mke wa pemba
1) kumuheshimu muume
2)hatoki kwenda safari hata kwa jirani bila ya ruhusa ya mumewe
3)kabla ya kulala unawekewa al udi ndani harufu nzuri kabisa
4)mapenzi moto moto
5)kupenda familia ya muume kama na wee utaipenda ya kwake.
ukiwa tayari weka namba ya simu yako ok
 
Uzuri wa wanawake wa Pemba haswaa wale wa wenye asili ya waarabu wa pemba, ni wazuriiije sasa? Sema hawa kama wewe kijana wa Kitwana huwezi fua dafu wengi huolewa Mascat, Dubai, Doha na Saudia. Ila ni wazuri sanaaaaaa! Alafu wamefundwa wakafundika, kwao mwanamke lake jiko na kitanda. Maendeleao kazi ya mume hiyo!
 
Back
Top Bottom