Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
Dhulma haifuati Haki. Siwezi kuwaombea waliodhulmu ardhi ya mwenye haki kisha kuanza kupora na kuwauwa kikatili.Ombea na Wa Israel waliotekwa watoke salama.
Dhulma haifuati Haki. Siwezi kuwaombea waliodhulmu ardhi ya mwenye haki kisha kuanza kupora na kuwauwa kikatili.
Sisimami na watu madhalimu. Nasimama na wenye haki
Wala msichanganye haki na dhulma. Na mkaficha haki nanyi mnajua - Qur an 2:45
Kwanini unawaombea wa Palestin?Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina
Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.
Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.
Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.
Allahumma Amiin Amiin
Kama unawaombea Kwa mungu allah Hana Uwezo wala Masada wowote! Sababu allah aliwahi Kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu akampuuza hadi Leo Wayahudi na Wakristo Wapo WANADUNDA hawaja Angamia!Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina
Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.
Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.
Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.
Allahumma Amiin Amiin
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina
Ee Mwenyezi Mungu uwape shifaa majeruhi na waathirika wote ndugu zetu wapalestina na uwatie nguvu wale wote waliopoteza wapendwa wao, uwape subra na imani katika kipindi hiki kigumu kwao.
Namuomba Mwenyezi Mungu awajalie pepo wale wote waliotangulia mbele za haki kutokana uwasi wanao ufanya madhalimu mayahudi. Uwape kauli dhabiti huko kaburini na uwasamehe madhambi yao hakika hao ni waja wako waliouwawa akiwa wakiitetea ardhi yao dhidi ya madhalimu mayahudi.
Namuomba Mwenyezi Mungu awatie nguvu wapambanaji wote wa hamas. Allah wajaalie subra na imani ya ushindi kuwashinda madhalimu mayahudi. Hakika wewe ni mwenye nguvu na mwenye hekima. Allah najua unatambua vyema ndugu zetu wapalestina wanapambana kuikomboa ardhi yao dhidi ya wavamizi mayahudi wanaopora ardhi ya wenye haki. Bila ya shaka dhulma haiweza kuishinda haki
Namuomba Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi wa rizki kila mwenye njaa aliyeopo palestina mjaalie wepesi wa kupata chakula na malazi salama. Allah uwangalie waja wako wanavyoteseka kipindi hiki bila ya chakula. Basi uwafanyie wepesi katika hilo.
Allahumma Amiin Amiin
Kama unawaombea Kwa mungu allah Hana Uwezo wala Masada wowote! Sababu allah aliwahi Kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu akampuuza hadi Leo Wayahudi na Wakristo Wapo WANADUNDA hawaja Angamia!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!tt
Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.Kama unawaombea Kwa mungu allah Hana Uwezo wala Masada wowote! Sababu allah aliwahi Kumuomba Mwenyezi Mungu Awaangamize Wayahudi na Wakristo!; Mwenyezi Mungu akampuuza hadi Leo Wayahudi na Wakristo Wapo WANADUNDA hawaja Angamia!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!tt
Hivi ukinyan'ganywa ardhi kimabavu halafu atokee mtu akuwambie uishii kwa amani na mtu huyo aliyekunyan'ganya ardhi kimabavu na kuua ndugu zako. Je utakubali??Wapalestina walipaswa kukubali ule mpango wa un na kuishi na wayahudi kwa umoja na upendo,ila kwakuwa ni wabinafsi na washenzi wakajiona wao ndio wanastahili kuishi hapo pekeyao,sasa wanaishi kama paka shume.
Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???Alie watuma ni allah sabana watala alehi walei wasallam kwamba wakachokoze Israel
Kwanini allah asiwaokoe mpaka sisi tuwaombee kwani hawaoni
Mimi Nakupa ushahidi Aliye mvuvia Quran muhammad ni!;Kumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.
Qur an imeshushwa na malaika mtukufu jibri kwa mtume Muhammad (S.a.w) ndani yake humo yapo maneno ya Mwenyezi Mungu mwenyewe na pia humo kuna maneno ya malaika pamoja na maneno ya malaika jibri
Mfano: Qur an 2:3
Amekuteremshia kitabu kwa haki. Hakuna mungu ila yeye aliye hai. Msimamizi wa mambo yote milele
Wahenga walisema!; chako kula, halahala Jirani!Na kwani Israel avamie ardhi isiyo yake then aikalie kimabavu na kisha kuuwa ndugu zetu wapalestina. Je ni sahihi uvamizi na dhulma zinafanya na hao wayahudi feki???
Kwa hiyo mkuu Quran ni maneno ya Malaika Jibril na Allah au ni ya Allah pekeeKumbe hata huijui Qur an. Ngoja nikupe darasa.