Nawaomba mniombee msamaha kwa mke wangu!

Dah! yani wewe kaka wewe!!!!kwan kimekupata kipi mpaka unamtaka tena?

Ninachoweza kukushauri ni kwamba:
Mrudie mungu wako,mkabidhi jaribu lako,coz siku zote mungu hutupa jaribu size yetu kulisolve tatizo ni kutokuwa waaminifu kwake kuwa yy anauwezo wa kutuwezesha kuyashinda,

Pili unatakiwa ujue umemjeruhi mkeo,na si rahisi kumbadilisha mawazo yake gafla km unavyotamani itokee,hebu mwonyeshe kwa matendo akiwa huko aliko kuwa unampenda na unahitaji maishan mwako yy na mwanao,

Haijalishi yuko kwao lkn una uwezo wa kuplay role yako ya kuonyesha kweli unamhitaji,hakika km utaamua kwa moyo wako wote bila kujali hasira zake na matusi atakayokutupia ktk kulitimiza hilo,na kwa vile still anakupena ipo cku mungu ataulainisha moyo wake na atakubali muongee,utatumia nafasi hiyo kwa umakin na umpe mda mpaka atakapoamua mwenyewe kukusamehe na hata kurudi muishi wote.

Na wewe mdada(Mke wa Super Luimbo) popote ulipo naomba usome hapa;
Najua una maumivu makali kupita kiasi,na ulikuwa na haki kbs kwa maamuzi uliyofanya,na ni kweli huyu mmeo alistahili adhabu kuwa kupita hata uliyompa,ila kumbuka huyu bado ni mmeo na baba wa watoto wako hata km ni mpuuzi kiasi gani

Najua inauma sn,na ni ngumu kusamehe,nakuomba Mrudie mungu,ongea naye kuhusu huyu mumeo,mwambie ayaone maumivu yako na ya huyu mumeo pia na fyucha ya mtoto wenu,mwambie namna ulivyo na uchungu na unashindwa kusamehe,mwombe akusadie ifike siku umsamehe mwenzio kwan naamin hutaweza kupata amani kwa kukataa kumsamehe mtu unayempenda bado.

Tambua huyu ni binadamu km ww,na anakosea na ilikuwa lzm akosee tu ili kupitia matatizo haya yy binafsi ajifunze na kupitia yy wengine wajifunze,na kupitia ww utukufu wa mungu uonekane na ndugu zake waitambue ktk kila lenye mkono wa mungu binadam hana nafasi.

NB:Ni hayo tu niliyoweza kusema kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya mahusiano,na ni ushauri ambao maamuzi yapo kwa mhusika mwenyewe,mungu akutie nguvu ktk wakati huu na katika jaribu hili.
 
wanaume wengine hawaeleweki
si umwoe mmoja kati hao dada zao au huyo mama yako tuone.
 
Back
Top Bottom