Nawaomba mniombee msamaha kwa mke wangu!

JF bana...huyu Super Luimbo anaweza akawa ndo Klorokwini na nyi msijue. Wenyewe mnajipinda kutoa ushauri huku yeye akiangua vicheko tu huku akiwachora!

KANUSHO: Sisemi Super Luimbo ndiyo Klorokwini.

umeona eeh....JF can never be boring
 
pole sana asee... mambo ya kawaida sana ayo.. wewe songa na maisha na umsahau uyo mwanamke
 
wewe jikatae na maisha yako banna.. ukimrudia akirudi atakutesa sana na utajuta kuzaliwa..! kama amesha sema harudi milele wewe tulia na uwe makini usirudie tena mambo kama hayo utakapo pata mwingine sawaaaaa....!
 
Pole sana kaka yangu super luimbo,ila wanaume nyie ni wabaya sana,mkiwa hamna kitu mnanyenyekea sana majina yote mazuri yanayofaa kumuita mwanamke utamwita,ila mkipata,mi risemi,kwani na mimi ni muathirhka
 
JF bana...huyu Super Luimbo anaweza akawa ndo Klorokwini na nyi msijue. Wenyewe mnajipinda kutoa ushauri huku yeye akiangua vicheko tu huku akiwachora!

KANUSHO: Sisemi Super Luimbo ndiyo Klorokwini.
Lol, ila mwandiko wake haufanani na wa klorokwini...
 
alipomaliza kusema hayo alibeba mtoto na kuniaga kuwa anaenda na kuniambia kila nilichochuma naye ameniachia kama zawadi, ni miezi imeisha nateseka sana sioni mke wl mtoto nimeenda kuomba msamaha amekataa kurudi, nimetuma washenga waniombee amekataa kurudi nyumbani, ndugu jamaa na marafiki wamemsihi arudi kwake amekataa katakata, NAOMBENI MNISAIDIE NANYIE KWANI NIMEGUNDUA KUWA MKE WANGU ALINIPENDA TOKA MOYONI NA SITAKAA NIPATE MKE KAMA YEYE TENA. NISAIDIENI~ ~.


Kwahiyo kinachokifanya umuone wa maana sasa hivi ni ugunduzi wako kua "alikupenda toka moyoni na huwezi kupata mwingine kama yeye" tu basi?Na sio kwamba umegundua wewe unampenda sana na unamhitaji maishani mwako?

Huna maana. . . . nipe namba yake nimsaidie namna ya kwenda mbali kabisa na wewe.
 
YES YUPO JF NA ALISHAWAHI KUANZISHA UZI WENYE KICHWA CHA HABARI KM SIKOSEI NI"SIKUJUA KAMA KUNA SIKU NINGENYANYASWA HIVI" na alitumia id ya lonely heart
Duuu! Sasa kama ulimtusi na kumfukuza nini kimekufanya uone atakufaa kwa sasa? Isijekuwa umeishiwa ndio mana umemkumbuka...

Mbaya zaidi umeshirikiana na ndugu zako kumnyanyasa, nyie wabaya sana asee, hata kama ningekuwa mimi nisingerudi tena, kunyanyaswa na ukoo mzima mbaya sana...

Endelea kumwomba msamaha labda atakuelewa na kukusamehe!
 
you are haunted by guilty conscious! Please mfuate umuombe msamaha hata kama hata rudi kuwa wife ila akusamehe, she's ill-traumatized to get back to you!
 
saivi mshkaj mpya anakamua niaje, tena walivyo wapya kila m2 akimwona mwezie mwili unaccmka! mbona 2meoa na 2nawaheshmu wake ze2 iweje wewe? uyo mwanamke hasirudi kabsa maana ela zmekata, unaweza ukamtoa kafara!
 
Itakuwa umefulia ndio maana umemkumbuka.Ila kumbuka kuna laana ya mke.Nenda kajaribu kumpigia magoti tena.Nahakika ukimuomba msamaha wa dhati atakusamehe.Ila na wewe uache ushetani bwana!Huna hata huruma kwa hao malaika wa mungu<watoto>?
 
We zuzu kweli,yani kupata pesa ya kubadili mboga ndo uamue kumfukuza hadi mkeo tena kwa matusi?tena naomba huyo mama wa watu abaki na msimamo wake huo huo..leo umekaa umechunwa na hivo vicheche vyako umeishiwa ndo unamkumbuka mkeo..paka mkubwa wewe,na sikuombei msamaha.
 
Back
Top Bottom