Mkuu kinacho kula kutu! 🤣 🤣 🤣
Ya chato Mkuu! 🤣 🤣 🤣Ila Wewe Jamaa Bhana Sijui Umekula Maharage Ya Wapi
🤣 🤣 🤣Ndivyo mnavyomkumbuka marehemu?
🤣 🤣 🤣Ndiyo umemuenzi marehemu?
🤣🤣🤣umesahau maliyemu alikua anapenda matusi? ndo wanamuenzi hivyo
🤣 🤣 🤣Wanajulikana kwa kutolea matusi kwenye kila matundu yaliyopo miilini mwao.
🤝🙏🆒Jifunze kuishi na watu ambao hamfanani mawazo na mitazamo ili usiugue ukichaa.
🤣 🤣 🤣Kwamba ?
🤣 🤣 🤣Nilitofutiana nae kwenye vingi ila nilikubaliana nae aliposema shule zake hazisomeshi wazazi 🤣 R.I.P Magufuli
Punguza ujinga weweHakuna mtu mwenye akili timamu atamkumbuka huyu Bedui.
Hakuna Magufuli day nchi hii, hiyo kafanye na mkeo. Kuna Nyerere day tu nchi hiiKesho ni siku muhimu sana ya kukumbuka mtanzania aliyekuja kuleta mabadiriko ya fikra , alikuja ghafla na kuondoka ghafla.
Kuna mengi sana ya kujifunza toka kwake, na ameacha alama nyingi ambazo hazita futika katika taifa hili.
RIP Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania Nov 5 2015- March 2021.
Kesho ni siku ya kutafakari fikra zake .
Je ni mafanikio yapi ameyaacha ambayo ni tofauti na Marais wengine?View attachment 2936503View attachment 2936504View attachment 2936505View attachment 2936506
Tungekuwa na nchi 3 tofauti. Yule aligawa nchi na hali ya uchumi ingekuwa mbaya sana, mataifa ya nje yangetutenga siku nyingi, Mungu fundi kweliApumzike kwa amani, sijui hali ingekuwaje kama angekuwa hai mpaka sasa
Nawe semea ya kwako usituletee upupu hapaSemea nafsi yako,usithubutu kusemea nafsi za wengine
Vyeti fake pole sana
Shetani naye ni zawadi?Tuna shukukuru Mungu Kwa zawadi ya Magu.
Ubbandike muakili kwa mukichwa.Hakuna mtu mwenye akili timamu atamkumbuka huyu Bedui.
BaelezeR.I.P KAMANDA
Wekea muakili kwa mukichwa Mungu akulaani na batoto yako yote kwa dhihaka ya MolaMungu fundi
Bakwako? mukichwani wako umekosa akili njemaUna afya mbovu ya akili.