Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,705
- 2,098
Baelezee✊Mimi hapa machozi yananibubujika.. Kila nikifikiria kesho ya watoto wetu.. Nazidi kutokwa na machozi..
Tumaini lote lililoanza kujengeka limepotea kama moshi upoteavyo angani
Baelezee✊Mimi hapa machozi yananibubujika.. Kila nikifikiria kesho ya watoto wetu.. Nazidi kutokwa na machozi..
Tumaini lote lililoanza kujengeka limepotea kama moshi upoteavyo angani
anzaneni kwa mufamilia ya munyumba yako.Jifunze kuishi na watu ambao hamfanani mawazo na mitazamo ili usiugue ukichaa.
Hahaa upinde FC wana hasira sana na Magu kwasababu alikuwa hana time na mabeberuyao.Nyie ndo mnatakiwa kulishwa wali wenye virutubisho
Ndiyo maisha gani hayo kama Sorbibo camp?Dah enzi zake inchi ilikuwa inatikisika.,kulikuwa na mtafutano.
Unaf!rw@
Vijana wahovyo mlokosa malezi Bora ya kumuabudu na kumtegemea Mungu mmetumwa na shetani ili watu waogope kusema ukweli wasifie uovu! Go to hell !!!Kum@mako
Kuhusu malezi bora,tusiwalaumu wazazi,walezi wala waangalizi wao.Hayo ni mapepo wanayamiliki kwenye umri wao ukubwani.Hawapendi kujifunza na kuelewa dhana nzima ya kukubaliana kutokukubaliana bila kuzuliana rabsha.Vijana wahovyo mlokosa malezi Bora ya kumuabudu na kumtegemea Mungu mmetumwa na shetani ili watu waogope kusema ukweli wasifie uovu! Go to hell !!!
Shetwan hajawahi na hatowahi kushinda...
Don't sell your soul to win the world,wisdom is better than silver and gold!!
Unadanganya musana. Ozali ne limema te. YOU lie in every thread.Ndiyo maisha gani hayo kama Sorbibo camp?
Hivi leo ugali ndiyo kimekuwa chakula cha kubezwa namna hii kweli?Kwa hiyo unashauri chakula gani kilicho chema zaidi kiliwe kustawisha akili njema?Mental retardation is a real case.
Mnaokula sana ugali huwa mnapata tabu yanapokuja mambo ya msingi.
Mfano wewe unajaribu kudiscredit kazi ya mtu ambaye hata ukipewa nafasi kuishi mara mbili huwezi fikia hata nusu ya achiement yake.
It's just a waste of resources and energy to argue with an idiot like you.
Maana huna uwezo wa kuelimika ukaelewa.
Ubongo wako umelemazwa na ugali.
Acha tu,Mimi hapa machozi yananibubujika.. Kila nikifikiria kesho ya watoto wetu.. Nazidi kutokwa na machozi..
Tumaini lote lililoanza kujengeka limepotea kama moshi upoteavyo angani