Nawakumbusha tu kuwa kumpa mimba mwanafunzi ni jela miaka 30

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
upload_2018-2-3_19-47-53.png
 
Huyo wala usihangaike nae maana unaweza ukawa headline bungeni...mngoje amalize alevo
 
Kwaiyo tutumie condom na videnti au kama
Vp tumwage nje
 
Mmoja jirani yang katiwa mikofi si ya
Nchi hii bali ni ya north korea kwa kosa la kulala na mwanafunzi geto kwake mpaka asbh mpaka sasa navyoongea yuko police central kawe
 
Back
Top Bottom