Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Labda wachomwe cndano ya ganxi.
Wanajisahau, wakizinduka tu wanajikuta na nguo ya nne na ni nadra tena kuivaa ya 3 waloahidiwa.
1 Vp HapoManeno kuntu...
Mimi baada ya kuvaa ya 1 nilirukia ya 3 kisha ya 4 then ya 2.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Teh teh teh
Nimegusa panapo takiwakho kho kho!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] atoto vpWacha we!!
Hongera kwa kupitia nguo zote...Maneno kuntu...
Mimi baada ya kuvaa ya 1 nilirukia ya 3 kisha ya 4 then ya 2.
nimepaliwa na mate mkuu,khabari imefika ghafla..Nimegusa panapo takiwa
Hiko ni kiherehere,cjasema mm lkn ni JkManeno kuntu...
Mimi baada ya kuvaa ya 1 nilirukia ya 3 kisha ya 4 then ya 2.
Daaaaaaaaahhhhh Jaman Samahani ndugu Yangunimepaliwa na mate mkuu,khabari imefika ghafla..
Wengine mkuu wanaruka step zote unawakuta nguo ya 4!Nawakumbusha tu dada zangu. Katika maisha yenu kuna nguo kuu nne za kuvaa.
1) Sare ya Shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)
NB:
i. Ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili
ii. Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu. [emoji13]
Habari Za Mchana Ndugu Zangu
Mwaaaaaaaaahhh totoz Wote[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Shukran Kama wamenisikiaDada zako wamekusikia.
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Wengine mkuu wanaruka step zote unawakuta nguo ya 4!
Eti ukiruka tunaruka na tunazirudia tenaWacha we!!