kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 17, 2015 #1 waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu....
waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu....
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Jul 17, 2015 #2 twakaribia ami muda si mrefu. Nalog off
Kingfisher JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 5,140 Reaction score 8,400 Jul 17, 2015 #3 kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu
kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jul 18, 2015 Thread starter #4 Charaxes said: Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu Click to expand... panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda
Charaxes said: Location chief...matukio kama haya huwa hatukosi....kama kuna foleni tutatembea kwa miguu Click to expand... panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,087 Jul 18, 2015 #5 kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... kabanga Eid El Fitri najitahidi niwahi seat ya mbele Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu.... Click to expand... kabanga Eid El Fitri najitahidi niwahi seat ya mbele
Android JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 984 Reaction score 1,241 Jul 18, 2015 #6 kabanga said: panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda Click to expand... nipo gomz hapa, maelekezo zaidi naomba
kabanga said: panda gari shuka goms, kisha chukua boda boda hadi mwisho kisha upatapanda Click to expand... nipo gomz hapa, maelekezo zaidi naomba
Mzee_2015 JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 255 Reaction score 58 Jul 19, 2015 #7 basi itakua mtu anaenda kula nguvu zake