Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

MKUU UMEITETEA SANA HIYO KOZI YA KEMIA LAKINI KWA MFUMO WA NCHI YETU NI NGUMU SANA KUWA NA FAIDA KWASABABU NI GENERAL SANA NI VIGUMU MTU WA KIWANDA CHA DAWA AKUAJIRI WWE WAKATI MFAMASIA YUPO KWASABABU YEYE AMESPECILIZE KWENYE MADAWA HATA KWENYE VYAKULA KUNA WATU WA FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY KOZI ZA GENERAL ZINA HASARA ZAKE AJIRA NI ZA KUBAHATISHA SANA USIWAPE SANA MOYO WENZAKO WAKO WENGI TU WAMEMALIZA KOZI ZA SAYANSI GENERAL HAWANA KAZI
 
Udom nacho chuo??
 
Good explanation, to be honest i got the real meaning, thanks alot.
 
ww unaesema udom sio chuo! unasoma harvad university?
 
Best yng ni mkemia ila tangu 2013 anasaga tu lami hana ajira.
 
Kuna watu wanaaply Md wakati wanatokeo mchepuo wa CBG jamani TCU ya guide book muisome vizuri maana hilo ni jibu
 
Mtu yupo CBG kachagua pharmacy, MD mwanzo mwisho hivi bila pharmacy au MD huna alternative way ya kufanya kitu kingine..jamani tuishi kwa plan na tusiwe wakukurupuka tu kwa kufikiria present tu...tuwenafikra za future pia..
 
Kuna watu wanaaply Md wakati wanatokeo mchepuo wa CBG jamani TCU ya guide book muisome vizuri maana hilo ni jibu

Inategemea na chuo

Kwani umeambiwa vyuo vyote CBG hawasomi MD?
 
Watu waliosoma Bach.ya biology na maths wanapata Shida sana ktk ajira wengi wa chemistry na statics ndo walau wanaajiliwa so muwe makini
 
Huyo alieleta thread nae ni Mwalimu udom bios asingeajiriwa hapo ingekuwa issue
 
ila kwa mwaka huu TCU wapo tight kidogo ! hata nursng mwaka huu imembana aliyesoma CBG ! angalia TCU book vzr

Guide book nimeshaiona na sioni tofauti na zilizopita ukiacha cut off points

AJUCO bado CBG wanasoma MD,MUHAS bado CBG wanasoma nursing na environmental health sciences

Nioneshe walipotight mkuu halafu pia ukumbuke wanaoset qualifications ni chuo na sio TCU ndio maana CBG anaweza soma MD vyuo vingine lakini MUHAS atasubiri sana
 
kama ni chuo bas sawa inawezekana kweli !
 
Environmental economics and policy ni mpya ..uwe Egm, PCM lakini.. Ndo Mara ya kwanza kwa vyuo tz
 
Mkuu nashukuru kwa kunirekebisha hapo but ukweli ni kwamba competition ya kupata md kwa mtu wa CBG ni kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…