fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,550
- 914
we ni mganga.dawa za kitibu nguvu za kiume zinapatikana dawa ni za asili...zinatibu uhanithi...kuwah kupiz ..kukosa nguvu ya kurudia tendo..uume legelege...nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide...dawa zote ni mitishamba asili
Kwa wale form six waliosoma chemistry katika combination zao, msiache kuchagua bsc chemistry udom au udsm. You won't regret.
umemaliza mwaka gani?Rafiki yangu amemaliza hiyo kozi udsm hadi sasa bila bila
Kwanini unasema hawawezi kujuta?
Sio mimi ,ni rafiki yangu.. Kamaliza mwaka janaumemaliza mwaka gani?
Hata walimu na madaktari waliomaliza mwaka jana bado bila bila mkuuSio mimi ,ni rafiki yangu.. Kamaliza mwaka jana
Hata walimu na madaktari waliomaliza mwaka jana bado bila bila mkuu
Waliomaliza wote chemistry udsm wapo private sector wanakula mema ya nchi pia ninawajua majamaa wote waliomaliza pale mwaka jana maana huwa sio zaidi ya 15 wanaomaliza bsc chemistry udsmMadaktari almost wote wako private sector wanakula mema ya nchi.Wengine wamejiajiri kwa mitaji ya internship
Hii chemistry sasa ina upekee gani?
Waliomaliza wote chemistry udsm wapo private sector wanakula mema ya nchi pia ninawajua majamaa wote waliomaliza pale mwaka jana maana huwa sio zaidi ya 15 wanaomaliza bsc chemistry udsm
kuna mshikaj wang anataka kuapply iz course ila anashindwa kuzitofautishaKwa wahitimu wa form six napenda kuwajulisha pia wakati mnachagua degree program pia kuna program kama za bachelor's of science in. Chemistry, biology, physics, mathematics and statistics.
Watu wengi huwa wanazidharau hizi programs but ni kwa sababu hawajui vizuri undani wake na mapana yake. So vijana msikimbilie hasa kwenye programs za ushindani wakati kuna program unaweza ukasoma na ukatoka ukawa umeiva vizuri kwa maisha ya kesho..
Mwaka Jana watu walizidharau walipokosa nafasi wakaanza kusema"lite ningejua" so katika machaguo yako chagua kulingana na points zako na idadi ya watu wanahitajika...so elewa kuwa life popote cha msingi mkono unaenda kinywa..so NAWAKARIBISHA UDOM KWENYE HIZO PROGRAM
UniversityUdom ndio nn wakuu
With yan atasoma baadh ya course za edukuna mshikaj wang anataka kuapply iz course ila anashindwa kuzitofautisha
BACHELOR OF ART WITH EDUCATION AND BACHELOR OF ART IN EDUCATION
wakumsaidai please