Nawahurumia sana nyie!

Nawahurumia sana nyie!

Kataa ndoa mnajidanganya hautaki ndoa wakati umezaa nje.vimbeni tuh ngoma ni uzeeni hapa ikifika unaita maji m`ma.
Mmekariri kwamba kila mtu uzeeni atakua fukara, atapooza, atashindwa kujihudumia 😂 hiyo ni wewe. Kila mtu anazeeka kwa namna yake.

Binafsi nimeoa na nina mtoto ila silazimishi watu wafanye kama nilivyofanya huo ni mpangilio wa maisha yangu , yeye pia anao mpangilio wa maisha yake.

Zama za kutaka ufanano tushazivuka kila mtu afanye vinavyompa furaha
 
Kataa ndoa mnajidanganya hautaki ndoa wakati umezaa nje.vimbeni tuh ngoma ni uzeeni hapa ikifika unaita maji m`ma.
Ukioa wewe inatosha mzee
Kila mtu apambane na hali yake
Hiyo ngoma ya uzeen waache watacheza wenyewe kwan wamekuita

Acha kiherehere kutoa ushaur sehemu ambayo hujaombwa ushaur
 
Basi leo uko poa na wife, umepikiwa chai ya maziwa na chapati za kumimina.....
umekuja kutamba, haya bana
 

Taratibu Mjomba,,Jitahidi Kupunguza Magagaziko,,Wengine Fainali Zetu Tunacheza Sasa,,Tukijaaliwa Huko Uzeeni Nikuwacoach Baadhi Ya Waja Wa Huu Ulimwengu...Kuzicheza Fainali Mapema​
 
Ndoa inakusumbua unaonea wivu team kataa ndoa. Yaani mtu uishi kwa shida miaka 60 ili uje kusaidiwa miaka 10 ya uzee?
 
Sawa!
Wewe OA/UOLEWE hayo ni MAAMUZI yako. SISI KATAA NDOA MSIMAMO WETU UPO PALEPALE, NO RETREAT NO SURRENDER!
 
Kila mtu yuko huru kuendesha maisha yake kwa namna inayoonekana bora kwake. Hakuna haja ya kupangiana jinsi ya kuishi
 
Back
Top Bottom