katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe?[emoji41]Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Leo nataka kutembelea nyota yako,nifanyie muujiza basi kule PMHata wewe ni mchafu kimaadili.
Nawashangaa nyie maadili yenu kwani yapo vizuri au midomo tu namnaokubaliana nae kwani mmengekuwa mnatabia njema mmengekuwa single wengi humu ni wanafiki tu.Hata wewe ni mchafu kimaadili.
Mbona hueleweki??utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe?[emoji41]
Nawe ni kachangu, huyu ni boyfriend wako wa 15 unatusimlia. Ukifika 25 utavunja rekodi ya wema. Tatizo litakuwa mikojo kama hiiJamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Mtatukana humu tena wale ambao ni wachafu tokea mdomo mpaka mwiliNawe ni kachangu, huyu ni boyfriend wako wa 15 unatusimlia. Ukifika 25 utavunja rekodi ya wema. Tatizo litakuwa mikojo kama hii
View attachment 1171368
Nilivumilia soksi nikaona anauvivu kwenda geto tu kusalimia dah ni ishu ingine kama unaingia jalalani.Ulimkubalije kwanza na vumbi hilo? Au siku ya kwanza alikuwa msafi?[emoji849][emoji849]
Nikiwa na mitanoKwa mujibu wa simulizi zako yaonekana UTUNDU uliuanza mapema sana
Kumbe hujui na tokea 21 mpaka nao nina wanaume 21,645,2345Nawe ni kachangu, huyu ni boyfriend wako wa 15 unatusimlia. Ukifika 25 utavunja rekodi ya wema. Tatizo litakuwa mikojo kama hii
View attachment 1171368
katoto kazuriNawashangaa nyie maadili yenu kwani yapo vizuri au midomo tu namnaokubaliana nae kwani mmengekuwa mnatabia njema mmengekuwa single wengi humu ni wanafiki tu.