Hapo kwenye vicoba daah, usipokuwa makini kila wiki lazima mifuko ichanike,halafu akienda kuvunja vicoba humsikii basi akudanganye hata na soksi au leso unaona kimya.
Wacha weeee sasa 50/50 ipo wapi imnayoililia kila siku au inachagua baadhi vitu na maeneo, sometimes hawa wanawake wana harakati hawajui wanacho kipigania.
Na wengine hiyo ndio gia yao ya kuondowa usumbufu, unapigwa kirungu hurudi tena usumbufu unaishia hapo, siyo kila ukimuona mtoto wa watu yupo online tayari unademka, na wao wamepata njia mbadala ya kuondowa usumbufu.
Huu uzi umechangiwa na wakongwe wengi wa jf inamaanisha hili jambo Kuna linalotukera na Kuna wale linalowafurahish yaana ndo pale iliposemwa TAMU CHUNGU
Majukumu yako unayajua ww dada yangu, hebu niambie ww majukumu yako ya msingi ni yapi?
Tukisema turudi kwenye majukumu ya msingi ambayo ww unayapingaga humu ni haya Mwanamke kuzaa kwa uchungu, mwanaume kula kwa jasho.,je ww haya unayaishi ?
Sasa nyie 50/50 mnaitakaga maeneo gani au kwenye hela ya Mwanaume ila ya Mwanamke marufuku, halafu kesho mnajazana ujinga wa 50/50.Kwa hiyo 50 ya Ke ipo kwenye papuchi, je Abdallah kichwa wazi nae hatakiwi kusafishwa.
Tena hii 50/50 kadili mnavyo ipromoti huko mashuleni ndivyo mnazidi kuharibu kizazi cha watoto wa kiume kwani nao mawazo yao ni 50/50 (hii kitu mimi naipinga sana kufundishwa mashuleni,impact yake ni mbaya kwa watoto wa kiume na jamii),sometimes hicho unachokiona cha mpaka shemeji yangu kushindwa kununua sabuni mmekilea nyinyi na itafika kipindi atakataa kununua mpaka kiberiti,sababu hela yako haionekani kwenye hiyo 50/50 na husishangae huko mbele kukawa na kizazi cha kususia majukumu kisa ni 50/50 kwani siku hasipo iona 50 yako na yy hatoi.
Hizo harakati zenu za 50/50 mwisho wake ni mbaya sana hasa kwa watoto wa kiume.
Mnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.