nawachukia law makers kutoka Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nawachukia law makers kutoka Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, May 20, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wanasheria wa kibongo nawachukia sana tena sana

  hawahawa wanasheria ndio wanaotengeza sheria za kusamehe kodi mashirika makubwa na kukimbizana na wauza nyanya,

  hawahawa ndio wanatunga sheria za kusamehe kodi za madini na kutufanya hatufaidiki na mali asili yetu

  Hawa hawa ndio waliotengeneza sheria ya kumfunga mwiba kuku miaka mingi kuliko wale wezi wa pesa za EPPA wanao ambiwa kulipa fidia

  Hawahawa ndio walio tunga sheria za kusamehe kodi kwa miaka mitano eti hadi mwekezaji aaaanze kuingiza faida ndio alipe kodi mwisho wa siku anakimbia na kubadilisha jina la sehemu husika

  Hawahawa ndio walio leta sheria ya Kuanzishwa mchakato wa katiba mpya ambao ulikuwa ungialia watu wachache zaidi kuliko walio wengi

  Hawa hawa waliosoma sheria ndio wanao tuletea mikataba feki na sasa nchi ipo kwenye wimbi la umasikini na madeni ya KUJITAKIA


  kuna mengi saaaaaan ajuuu yao haya ni machache

  ki ukweli nawachukia sana hawa wanaojiita LAW MAKERS wamechangia hii nchi kuwa masikini
   
Loading...