Nauza vyombo vya ndani nahama mkoa

Digital base

Senior Member
Joined
Jul 19, 2020
Posts
138
Reaction score
216
Hello habari ya leo wadau ,

Mimi naishi Dar Es Salaam Kimara Temboni na sasa nahama kikazi kwenda mkoa mwingine

Nauza vyombo vyote vya ndani ambapo katika vyombo hivyo nna TV Inch 32 kampuni ya Ailyons na king'amuzi Cha Azam cha Dish vyote Tsh.270,000

Sofa za watu wawili mbili zote Tsh.200,000

Kitanda na Godoro 5 * 6 Vyote Tsh.300,000

Kabati la milango mitatu Tsh.220,000

Meza ya Radio (Show case) Tsh.55,000

Meza ya chakula Tsh.85,000
Mtungi mdogo wa Gas Oryx Tsh.20,000

Brenda kampuni ya Aborder heavy duty Tsh.70,000

Pasi Tsh.15,000

Vyombo Vidogo vidogo Kuna jaba la ndoo 8 Moja na madogo ya ndoo 3 mawili yote Tsh.25,000

Ndoo kubwa 5 na ndoo ndogo Moja zote 15,000

Namba yangu 0626586559 napatikana Dar Es Salaam Kimara Temboni

Maongezi kwa mnunuzi yapo ukifika

 

Attachments

  • 17010808807761161665767497862361.jpg
    1.1 MB · Views: 46
Inaonekana nyumba ilikuwa na mtoto/watoto, walikuwa wanalala wapi? Sijaona godoro lao
 
Napitia comments,,,,,,, msisahau offer ya website bado inaendelea (whole Christmas Eve)
 
Mchina vyote, had, ila utapata "wakuja" umkamatishe.
 
Huko uendapo ukihama kikazi utauza tena vitu.

Angalia mkuu usieje ukauza hadi dunia
 
Mimi nahitaji hicho king'amuzi Mkuu.
Umeshauza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…