Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Oct 7, 2018 #1 Habari ya leo wana jamvi... Nauza kitunguu safi kutoka lumuma nna gunia 40 gunia moja ni 75,000/-. Ukiagiza kuanzaia kumi unaletewa ulipo
Habari ya leo wana jamvi... Nauza kitunguu safi kutoka lumuma nna gunia 40 gunia moja ni 75,000/-. Ukiagiza kuanzaia kumi unaletewa ulipo
Z Zimeanza zimeanza kuota Senior Member Joined Oct 1, 2018 Posts 129 Reaction score 86 Oct 7, 2018 #2 Wanakuja mkuu
I Idofi JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 2,294 Reaction score 2,007 Oct 7, 2018 #3 guni la ujazo gani?
Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Oct 7, 2018 Thread starter #5 Idofi said: guni la ujazo gani? Click to expand... Kilo mia moja
T the big mayai JF-Expert Member Joined Aug 16, 2018 Posts 230 Reaction score 325 Oct 7, 2018 #6 Hongera zako kiongozi. Watu hudai vitunguu huwa na bei nzuri pale viwapo adimu mwezi novemba-machi. Subiri kwanza
Hongera zako kiongozi. Watu hudai vitunguu huwa na bei nzuri pale viwapo adimu mwezi novemba-machi. Subiri kwanza
M mupanga Member Joined Aug 16, 2013 Posts 72 Reaction score 29 Oct 7, 2018 #7 Kiongozi nicheki inbox aisee tuyaongee vzr na mm pia nakitungu nakiuza nimelimia mbori# njoo inbox au nicheki kwa 0757386921
Kiongozi nicheki inbox aisee tuyaongee vzr na mm pia nakitungu nakiuza nimelimia mbori# njoo inbox au nicheki kwa 0757386921