Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,704
2,000
Mambo vip?

Nina vitunguu maji zaidi ya gunia 80. Viko shamba Morogoro, Kijiji cha Msowelo. Nitauza kila gunia Tsh. 80000 tu.

Sina mpango wa kuleta mjini wala Dar sababu yalinikuta makubwa nilipoleta tikiti. Kwa mawasiliano 0718906602..

Nakaribisha na madalali pia wakague mzigo na watafute wateja

Asante
 
Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,704
2,000
Usithubutu kuleta mjini kwa madalali. Ni bora viozee shamba.
Ebhana wee acha tu siwezi jaribu.Nilivuna tikiti kiasi cha kutosha tu.Nikapata mteja kwa 3000@ yakiwa shamba bila kujali kubwa wala dogo.Nikaingia tamaa ya pesa nyingi mana waliniambia Dar kwa makubwa yanafika hata mpaka 7000@.Nikakodi Gar kilichonikuta ni Aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dingimtoto

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
8,361
2,000

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,704
2,000
Malizia kamanda ilikuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo kina changamoto sana.Kuna watu hapo dar ni wataalam balaa.Akilipiga tu anakwambia bichi ama bovu.Na ukibisha wanalikata na kweli bichi.Walizipembua balaa na bahati mbaya nafika nakuta mzigo wa tikiti umemwagika balaa.So Tikiti kubwa niliuza 2000tsh ziko ambazo niliuza hadi jero.
Kwa Haikufika hata laki9.Kwa hasira nakaweka pesa yangu takoni nikaangia bar nikagonga bia siku kadhaa mpaka ikaisha nikarudi mikono mitupu nikaanza moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyess

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
954
1,000

Hahahahahahha dah mkuu umenichekesha sana uliona bora ule bia tu .. kitunguu kimetulia utapata mteja
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,669
2,000
Kilimo kina changamoto sana.Kuna watu hapo dar ni wataalam balaa.Akilipiga tu anakwambia bichi ama bovu.Na ukibisha wanalikata na kweli bichi.Walizipembua balaa na bahati mbaya nafika nakuta mzigo wa tikiti umemwagika balaa.So Tikiti kubwa niliuza 2000tsh ziko ambazo niliuza hadi jero.
Kwa Haikufika hata laki9.Kwa hasira nakaweka pesa yangu takoni nikaangia bar nikagonga bia siku kadhaa mpaka ikaisha nikarudi mikono mitupu nikaanza moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
nacheka huku nimeinama.

Haya sasa waingize ujuaji wao na kwenye vitunguu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom