Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya

Vipo mwanza
Mawasiliano 0765682453

Hiyo meza ni ya kioo kayikati ina viti sita bei laki 5

IMG20210529091919.jpg
 
Hivyo vyote ni vitu vya baa!!

Vitu vya ndani
Kitanda ,kabat,meza,dressing table na enga ya kuwekea viatu....bila kusahau droo ya kuwekea kondom
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom