Nauza Vitu Vifuatavyo

Nov 18, 2019
44
46
Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo
Godoro inch 8 bei 140,000/-
Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/-
Feni 60Watts bei 25,000/-
Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/-
Vikontena vipo vinne 10,000/-
Ndoo 2 na beseni vyote 6,000/-
Vifaa vya usafi vyote bei 6,000/-
Viatu vya kike(vipya havijawahi kuvaliwa) namba 38 bei 4000/-

Vitu vyote hivyo vina takribani miezi miwili tangu vinunuliwe.Pia mazungumzo yapo najua hatuwezi shindwana bei. Nipo kigamboni mji mwema. Karibuni sana ukichukua vingi utapunguziwa na kuongezewa vingine.

Mawasiliano 0752904918/0683500221
 

Attachments

  • IMG_20220610_152902_028.jpg
    IMG_20220610_152902_028.jpg
    381.7 KB · Views: 13
  • IMG_20220606_171329_254.jpg
    IMG_20220606_171329_254.jpg
    557.2 KB · Views: 15
  • IMG_20220610_145723_728.jpg
    IMG_20220610_145723_728.jpg
    523.9 KB · Views: 14
  • IMG_20220610_145339_916.jpg
    IMG_20220610_145339_916.jpg
    322.9 KB · Views: 13
  • IMG_20220610_145144_898.jpg
    IMG_20220610_145144_898.jpg
    391.2 KB · Views: 10
  • IMG_20220607_180859_032.jpg
    IMG_20220607_180859_032.jpg
    476.3 KB · Views: 12
  • IMG_20220607_200357_952.jpg
    IMG_20220607_200357_952.jpg
    322.3 KB · Views: 11
Feni 20 unakula ila godoro ujasema size ipi na kampuni iliotengeneza isiwe tuff or
 
Maanake kwanza ncheke ila sisemu niliwazalo nakubaliana naww nikutakie business njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom