Ninahama,nauza vitu vya ndani

Rlukaku

Senior Member
Dec 11, 2013
100
195
Wadau nimepata uhamisho kikazi kuhamia Mwanza sina matarajio ya kurudi kuishi Dar tena,hivyo nimeamua kuvipiga bei vitu vifuatavyo maana gharama ya kuvisafirisha imenishinda:
1. Kitanda 5x6.(100,000/=)
2. Kabati la vyombo (150,000/=)
3. Makochi 2,2x2 (sio sofa).(80,000/=)
4. Friji(creda cold store ya UK)-(120,000/=)
5. TV LG 24" (300,000/=) bado mpya!
6. Subwoofer(50,000/=)
7. Feni (10,000/=)
Vitu vyote viko poa kabisa.

Pia Nimepanga maeneo ya victoria karibu na makumbusho,chumba na sebule vimelipiwa kodi hadi mwezi wa saba,(110,000),pana umeme na maji,wapangaji watatu tu. Nimefunga DSTV,kama unaweza kunirudishia kodi iliyobaki (miezi 6) tuwasiliane nikupishe. Yani kama kuna mtu ndio anataka kuanza maisha hapa mjini hii dili ndio inamfaa zaidi maana ningeweza kumuachia kila kilichomo kwa bei ya maelewano.

Kama iko interested ni PM tufanze biashara.
 
Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,818
2,000

Mi nalitaka hilo feni
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,659
2,000
Ungeweka namba ya simu tu.. haya mambo ya PM ni mzunguko sana alafu kwa wasiojisajili JF {guest} hawawezi kutuma PM
 
Rlukaku

Senior Member
Dec 11, 2013
100
195
Wadau vitu vimeshachukuliwa vyote. Nashkuru kwa ushirikiano wenu,kweli JF inatisha.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom