Nauza vitoto vya paka

Nauza vitoto vya paka

Ukifanikiwa kupata mteja anaetaka wengi nipm tufanye biashara hapa mtaani wamejaa kibao wanakamata tu vifaranga vya kuku.
 
Mara nyingi paka wanaozaliwa hugaiwa bure endapo watakuwa ni kero kwa mfugaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni dalili ya kuwa sasa maisha yamekuwa magumu kweli kweli
 
Atakayenunua hao watoto wa paka ani pm nimuuzie chakula cha paka kwa bei nafuu..
 
Back
Top Bottom