awo mita moja wanauzaje?Hiyo bei ni ya 2000m mtaua watu
Awo kina nanawo mita moja wanauzaje?
nilikuwa nauliza uliposema ni bei ya 2000m ni wapi vinapatikanaAwo kina nan
Acre moja inachukua gharama kiasi gani
Wasiliana na Mimi 0763347985/0673000103
Kwa hekar moja utahitaji roll tano na viunganishio vingine ambavyo ukijumuisha gharama zote , kwa hekari moja huweza kufikia 2.5mil
Karibuni sana, ukifanya kazi na sisi tunakupimia udongo buuuuure kabsaa, tupo Morogoro, DSM, arusha , popote tunafika pia