Nauza unga bora wa lishe

Nauza unga bora wa lishe

emmy 2nyi

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
66
Reaction score
25
Habari wana jamvi..
Nauza unga bora WA lishe wenye virutubisho vinavyomsaidia mtumiaji kuongeza uwezo wa kumbukumbu, kuimarisha mifupa, kuongeza nguvu ya mwili, kupunguza mafuta yasiyotakiwa mwilini Na poa kuimarisha mwili..

Hujachelewa bado mzigo upo wa kutosha, karibuni Sana wateja wa jumla Na lejaleja

Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa pm tafadhali.. KARIBU TUJENGE AFYA
 
mihogo tu hiyo hamna namna unaficha nini si uweke hivyo viungo ulivyochanganya vikajulikana na bei zako na ofisi ulipo, biashara za vificho za nini eti njoo pm huko yuko nani na uchumi huu ulivyo.
 
Back
Top Bottom