Nauza ukumbi na vifaa vyake Kibaha

Nauza ukumbi na vifaa vyake Kibaha

Mwanzo road reserved ilikuwa mita 22 kila upande kutokea katikati ya barabara. kwa sasa barabara kuu kama hiyo (A7 Dar Moro) imeongezwa mita 8. Kwa hivyo sasa ni mita 30 kila upande.
NGUVUMOJA Ahsante kwa ufafanuzi kama hivyo Hata walio mbele yangu wako salama
 
Last edited by a moderator:
Mkuu weka kianzio kidogo maana ikiwa bei kubwa sana wengine hatutaweza...
 
Mkuu weka kianzio kidogo maana ikiwa bei kubwa sana wengine hatutaweza...

Mkuu Mlaleo pale juu nimeweka kila kitu labda pitia upya kusoma utaona bei pia,maongezi yapo pia
 
Last edited by a moderator:
Hii dizaini ya biashara siyo nzuri kwa eksipiriensi yangu...... Wapigaji huitumia sana.
Cha muhimu ni kuongeza umakini , kila la kheri.
 
NGUVUMOJA Ahsante kwa ufafanuzi kama hivyo Hata walio mbele yangu wako salama

  • quote_icon.png
    By NGUVUMOJA
    Mwanzo road reserved ilikuwa mita 22 kila upande kutokea katikati ya barabara. kwa sasa barabara kuu kama hiyo (A7 Dar Moro) imeongezwa mita 8. Kwa hivyo sasa ni mita 30 kila upande.

    NGUVUMOJA hayuko sahihi hata kidogo Moro Rd nafikiri ni mita zaidi ya 70 kila upande, ukiangalia alama zilizowekwekwa kuanzia Ubungo kwa kweli ni zaidi ya hivyo nafikiri pia kuna sheria yake tofauti, ingawa mita 100 pako salama​

  • NGUVUMOJA hayuko sahihi hata kidogo Moro Rd nafikiri ni mita zaidi ya 70 kila upande, ukiangalia alama zilizowekwekwa kuanzia Ubungo kwa kweli ni zaidi ya hivyo nafikiri pia kuna sheria yake tofauti, ingawa mita 100 pako salama​

Yuko sahihi mkuu, mbele yangu kuna watu walishajenga majumba na vituo vya mafuta mimi niko nyuma yao, hiyo iko sawa
 
Habari zenu,
Kama kichwa habari hapo juu,
Nauza ukumbi wa sherehe na shughuli mbalimbali,
Ukumbi huu haujamalizika umefikia kwenye lenta, nilijenga kwa ajili ya wapenda mpira, ukumbi upo kibaha una uwezo wa kuchukua watu 450 mpaka 500 waliokaa, una nyumba ya kuishi chumba na seble yake, una vyoo vitano,
Ndani una sehemu ya duka na control room,
Una vifaa vya ndani
Video projector 2
Epson s118
Sony,zote ni full HD
Na screen projector za ukubwa wa mita 2 picha,
Na cable zake za HD 20 meters
Na Av cable 20 meters, kuna generator
Kuna Dstv ikiwa na extra views
Azam tv pia,
Nilijenga kwa ajili ya target mpira,
Nimeshindwa kuendeleza kwa sababu naishi nje ya nchi nimeshindwa kusimamia kwa ufanisi, bei m17 maongezi yapo

Maelezo zaidi anaehitaji anicheki hapa pm au email,iskhazrahbi@yahoo.com au contact +96895569080 hiyo pia kwa whatsaap,

Mkuu maelezo kidogo...ukumbi uko kwenye lenta, lakini ulivyotoa maelezo ni kama vile ushaanza kutumika, maana unasema una vifaa vya ndani (umetaja). Unaweza tupia picha hapa hili tuone please!
 
Yuko sahihi mkuu, mbele yangu kuna watu walishajenga majumba na vituo vya mafuta mimi niko nyuma yao, hiyo iko sawa
Hayuko sahihi kwani Magufuli amekuwa akidai kuwa upana ni mita 121 kila upande jumla 242m (google). Wakazi wa Mbezi wameenda mahakama kupinga, mahakama iliamua kuwa Magufuli yuko sahihi bali awalipe fidia ingawa hawaruhusiwi kufanya maendelezo mapya katika upana huo ndo maana siku hizi yeyote anayeanza kujenga tu anavunjiwa, maendelezo yaliyopo yatalipiwa fidia.

By the way kuna kampuni kazi yake ku-monitor majengo mapya na kuripoti TANROADS ndo maana ukianza waambiwa simama ukibisha GREDA linakuhusu.
 
Sawa mkuu tumekuelewa
 
Mkuu maelezo kidogo...ukumbi uko kwenye lenta, lakini ulivyotoa maelezo ni kama vile ushaanza kutumika, maana unasema una vifaa vya ndani (umetaja). Unaweza tupia picha hapa hili tuone please!

Nilinunua vifaa vyote kabla ya kumaliza ujenzi
 
Nimependa ila kiroho kinasita sita kutokana na maelezo ya Wadau humu.... Natemo...
 
Back
Top Bottom