nauza tablet iliyoaribika mkanda

nauza tablet iliyoaribika mkanda

Kuuza noah 12m kuna tatizo gani mkuu? punguza ujuaji boss, sio kila noah ni ile unaijua wewe, ama hujui bei ya noah mpya ni zaid ya $20,000?
Mkuu achakutokwa povu wewe magari chakavu unauza huna uwezo wakuuza gari ya 20000$uje kutangaza humu ungekuwa na showroom wewe dalali kama wa lumumba tu!unakagari kamoja unauza unanua kengine kama wa azam unatunzia mtaji wako wewe piga kimya dalali tu wewe!
 
mnayooandika ni maoni yenu ila wapo wanaoitaji,ushauri ni mzuri asanteni ila karibuni mnaoitaji.NIMESHAZOEA KUNA WATU BILA KUANDIKA PUMBA WANAONA SIKU HAIJAENDA,MIMI HUWA NAONDOA PUMBA NABAKI NA MCHELE.
**NATAKA NIIUZE AU NIBADILISHANE NA SIMU KWASABABU NIPO ARUSHA NA NAJUA MLIOKO DAR MTAPATA SPEA YAKE NA MTAWEKA MKANDA,SASA SIKULAZIMISHA MTANZANIA YEYOTE ANUNUE NIMETOA TU THREAD ANAETAKA ATANUNUA NA KAMA HUTAKI TULIA WAJANJA WAJIPATIE****
Wajanja au wajinga..acha kutuzuga wewe umeshindwa kuitengeneza sasa unataka kumbambika mtu
 
Back
Top Bottom