Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,625
- 11,636
Napenda sana Manual transmission, na kwa km hizo kwa vitara bado iko njema kabisa.
Ila broda hapo kwenye bei jitahidi kupafanyia modification.!
PJ, nadhani ukimpigia simu kwenye namba aliyoweka bei inaweza kuwa "edited" kiasi.