Nauza Suzuki Grand Vitara 2.0 (ya mwaka 2002)

Nauza Suzuki Grand Vitara 2.0 (ya mwaka 2002)


Hii model ya uingereza sasa hizo 107,800 ni miles au kilometres ? kama ni miles basi ni 172,480 kilometres


attachment.php
 
lita moja yaenda kulimeta ngaaapi ngapi ati?
 
See the attachment
Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729
 
Nilisafiri kidogo wadau... hiyo gari bado ipo maana nilishindwa kukutana na wale walio-hitaji kuiona...... KARIBUNI SANA
 
Naomba picha za ndani na ufafanuzi wa mileage please

Usijali mkuu, Nitakuwekea...maana picha nilizonazo hapa zinakataa ku-attach coz zina-bytes kubwa... Nitapiga kupitia simu yangu, then nitakuwekea.....
Gari limetembea miles 107,800
 
Back
Top Bottom