dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #141
Sawaa..!! , Upo wapi captainNiletee hii size 34
Sent from my TV
Sawaa..!! , Upo wapi captainNiletee hii size 34
Sent from my TV
Majohe GongolambotoSawaa..!! , Upo wapi captain
Ok, kesho nakuletea ni frash namba yako kwa watsAppMajohe Gongolamboto
Sent from my TV
Namba yako ni ipiOk, kesho nakuletea ni frash namba yako kwa watsApp
Poa.. kamanda

Vip kamanda
koment za huyo jamaa anayesema upeleke bidhaa usukumanVip kamanda
Zimekufurahisha aukoment za huyo jamaa anayesema upeleke bidhaa usukuman
Baadhi sio zote elastic mr.ni elastic
Aina gan comrade..!! Au nikuchagulie yoyote
Mkuu nahtaji 2 ila nna 30000 mkuu tufanye biashara
Kaka kuna mtu,namtuma anakuja huko nichek ili nimpe no yako saivNamba yako ni ipi
Sent from my TV
Hujanipa namba yakoKaka kuna mtu,namtuma anakuja huko nichek ili nimpe no yako saiv
Hahahaha duuh haya buanaMiji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Check inbox yako kamandaHujanipa namba yako
Sent from my TV
Hiyo apoNimeiweka juu kwenye thread
ok hii hapa 0657438581
Hujanipa namba yako
Sent from my TV