MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
...mtoto wa kiume kujifanya mwanamke bado unajiona una akili?
..we ni shoga?
shoga,jini maimunaa!
...mtoto wa kiume kujifanya mwanamke bado unajiona una akili?
..we ni shoga?
...kwahiyo unaona raha kuchezewa kinyesi;shoga,jini maimunaa!
...kwahiyo unaona raha kuchezewa kinyesi;
..kweli wewe Masalakulangwa,
.shubaaamit!
Nipo dar es salaam kamanda
Nipo dar es salaam kamanda
mkuu tunakuomba uweke picha nzuri ,hizi picha zako hazionekani ,ndiyo maana unawapa watu maneno .Nipo dar es salaam kamanda
Sawa, comrade hizi hapamkuu tunakuomba uweke picha nzuri ,hizi picha zako hazionekani ,ndiyo maana unawapa watu maneno .
hahaa very true, alafu wana ubabe wa kipuuzi sanahahahahahahha nimchecheka aklafu sasa hzo sauti !zipo juu!na kweli kisaki wamejazana balaa! wanafuga na kulima! safari huwa chungu!kila wanachoona wananunua wanakula
Kwa mfano nikihitaji tano unanipa discount kiasi gani au utaniuzia hiyo hiyo 23,000.
Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, kimsingi comrade nilisha ifanyia discount hapo ndio mana nauza 23,000 na ktk hiyo hiyo hela nakuletea mpaka kwakoKwa mfano nikihitaji tano unanipa discount kiasi gani au utaniuzia hiyo hiyo 23,000.
Nahitaji za kuvaa sio biashara
nothing is easier than blaming others for your own problems
Kwangu huwezi kuleta kwa kua ni nje ya mkoa wa Dar es salaam.Ok, kimsingi comrade nilisha ifanyia discount hapo ndio mana nauza 23,000 na ktk hiyo hiyo hela nakuletea mpaka kwako
Huku inategemea kama hizo nazouza kuna maduka wanauza hadi 30k ila mimi nimefanya favour sitak faida kubwa kwakuwa najua hali ilivoKwangu huwezi kuleta kwa kua ni nje ya mkoa wa Dar es salaam.
Lakini hata huku nilipo bei ni around 23000 sasa nilitegemea huko mjini kutakua na discount ya maana kumbe kama huku nilipo tu.
Hizo Diesel na Jeep nanunua 23000-24000 mkuu
nothing is easier than blaming others for your own problems
Ok, unavaa size gan?comrade