Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Na ukumuuzia bei siyo sawa na aliyenunua msukuma mwenzio anatakataa hata kama bei ndogo, anataka wafanane mpaka bei ya kununulia, Masukuma shida sana



aahahhaha nacheka jaman!ukitaka uwafaid vzr panda treni!kwanza utakereka tu!wanaongea kwa sautii!hehehe!
 
hhahaha ukweli wanajua sana kupenda jimix sasa uolewe!!ukichelewa tu toilet anakuamshia dude mbn umechelewa!wana wivu wa kuweza kujengea smelter ya kuchenjulia !lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom