Nauza suruali za kadeti

Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahhaa nacheka km mazuri!na kweli wanapenda kuvaa sare!ila tusimdanganye bwana hzi wasukuma hawavai mbn ni grade ya juu namna hii!hapana hatauza!hzi si ndo zilizoko kkoo??hauzi!kuna masuruali ya ajabu ajabu ndo wanayapeleka minadani!hizi sio!hizi mbn na kina nape wanazivaaga na makamba!
 
Hahahah....gheete gheete

Sent using Jamii Forums mobile app

hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
 
Huko Ifakara sample tu, Mwanza ni jiji lakini njoo ujionee full population. Asilimia kubwa ya wajanja Mza ni makabila ya kuja

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom