Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Huko Ifakara sample tu, Mwanza ni jiji lakini njoo ujionee full population. Asilimia kubwa ya wajanja Mza ni makabila ya kuja

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app

hahahha nakuelewa sana mkuu nilikua hapo last yr hapo NATA sasa uuwiiiiiii! sijawah kununa nikiwa mwanza!
 
hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
inaelekea unawajua sana wasukuma.
 
hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
Hahahaha......... Mkuu moyo wa msukuma ukishakudodondokea ni balaa utapendwa hadi ukome. Wenyewe wanasema moyo umekudodokea yaani amekupenda to the maximum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hhahaha ukweli wanajua sana kupenda jimix sasa uolewe!!ukichelewa tu toilet anakuamshia dude mbn umechelewa!wana wivu wa kuweza kujengea smelter ya kuchenjulia !lol
 
hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
yalikukuta jirani ahaa karibu kihonda ...
 
hahahha nakuelewa sana mkuu nilikua hapo last yr hapo NATA sasa uuwiiiiiii! sijawah kununa nikiwa mwanza!
hahahah lifestyles za kisukuma ni kichekesho tosha

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Utafute na zile zenye mifuko mingi,tunapendaga sana na hivi sasa ni msimu wa pamba bado mahela ni ya kumwaga,
halafu mbona unauza bei ndogo hivyo?
Sawa mr. nauza bei ndogo, kutokana na hali yenyewe sasa hiv imekuwa si shwari kwa watanzania wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom