Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Dark blue
Polo ya kuvutika pia
20190524_210309.jpeg
 
Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hivi kwann msukuma yule pure msukuma hata awe msomi vip bado wanakuwaga washamba jaman!alafu wajuajiiii! ukisikia habari za wasukuma mi huwa nakufa kwa kucheka! ukienda mfano ifakara ukaenda mashineni ukawakuta wasukuma...akatokea kukupenda hahahaa unaomba hata gunia 5anakupa!wanahadaika wale sijui kwann!kha
Halafu wengi ni magovi.
Ukikaa karibu nae lazima atoe kaharufu flani hivi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom