Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

HaHAHA!! Sasa inatosha ngapi?!
Mimi nauza pisi moja 23k sasa ukitaka 50k kwa 3 una maana moja nikuuzie kwa 16,000 ambapo hata jumla na sehemu yoyote huwezi pata kadeti bei hiyo kamanda
 
Za kuvutika
8b20eee76ce73c345c782ee1807957ac-2.jpeg
ebcca9b289b23477c7ea8d04dd7b4eeb-1.jpeg
 
Mimi nauza pisi moja 23k sasa ukitaka 50k kwa 3 una maana moja nikuuzie kwa 16,000 ambapo hata jumla na sehemu yoyote huwezi pata kadeti bei hiyo kamanda
Magu kabana jomba! Nikuandalie 60K basi; sikukuu nini bhana, si nitajifungia ndani!!!
 
Kama tumeafikiana biashara, tukutane basi Jtano! Si umesema kwa Dar unapeleka mzigo kwa mteja, basi hiyo siku nitakuwa Mbagala! Are we even?
Yeah!
Nakuletea ulipo sawa fanya kunicheki WhatsApp uniambie size unayovaa na aina unayotoka
 
Zikiwa 3 zinafika Dodoma kwa bei gani? Huu mwezi wa kodi usiponiharibia ratiba naweza kukucheki

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom