dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #421
Maroon (damu ya mzee)
Bei yako ngapi mkuu?Dark-blue View attachment 1141332
Kamanda tsh 23,000Bei yako ngapi mkuu?
Unahitaji ngap?,size yako unayovaaNaitaji kadeti kwa kesho
Kimsingi ni Ufuaji na pia unaweza ukawa umenunua kadeti feki, ambazo hazifiki hata miezi kadhaaKadeti nyingi zina pauka kinoma baada ya miezi kadhaa tu haitamaniki tatizo ni aina yaufuajia au ni nini?
Kimsingi ni Ufuaji na pia unaweza ukawa umenunua kadeti feki, ambazo hazifiki hata miezi kadhaa
Hapa umemaanisha aina ya kampuni brand au maana,Zipi ni nzuri zisizopauka kabjsa mzee!!!
Hapa umemaanisha aina ya kampuni brand au maana,
kama wewe mpenzi wa kadeti utakuwa unazifahamu kama zile zinazouzwa10k feki nyingi ni feki
Sawa ila pia unaweza vaa hata ya sh. 20k kuendelea lakini ikawa feki wengi wauzaji hawawezi kukuambia hii feki na kama hujizijui feki bado itakua tatizoSijawahi kununua kadeti ya 10 bei ndogo kabisa labda 20
Unauzia wapi? Nimetamani nimchukulie bbySawa ila pia unaweza vaa hata ya sh. 20k kuendelea lakini ikawa feki wengi wauzaji hawawezi kukuambia hii feki bila na kama hujizijui feki bado itakua tatizo
kwa uzoefu wangu kadet kama zangu mimi pia mvaaji zinachukua mwaka mmoja hadi miaka miwili
Asante kamanda, nitalifanyia kazi hiloMorogoro kama unaenda kisaki, Vijiji vya dakawa, dhuthumi, Mvua kila Jmosi wanakuwaga na minada masokoni.. wasukuma wananunuaga, Tena hata bei ya 30,000 unauza... Kwenda kule nauli ni 15, Gesti 5-10 elfu, Unaweza ukawa unaenda Siku za Weekend unauza na kurudi... Stendi ya kwenda kisaki ipo Buguruni pale...
Unauzia wapi? Nimetamani nimchukulie bby
Nauzia online yaaani nakutumia sample ukizipenda au kama unazo unanitumia nakuletea Miss, karibu
Nauzia online yaaani nakutumia sample ukizipenda au kama unazo unanitumia nakuletea Miss, karibu
Kila mtu ananunua kulingana na kiasi cha fedha alichonacho! Wewe fisadi una uwezo wa kununua hata chupi ya laki tatu kwahiyo usijifananishe na wengine! Ficha ujinga wako!Neno Original naona Limeingiliwa na wahuni Mimi Kadeti zangu nanunua
Tsh. 115,000/= hadi Tsh. 126,000/= Pale Woolworth na Springfield hizi fua Ufuavyo hazijuji Kizembe , sasa nashangaa mtu anasema kadet Original Sh. 23,000/= hii Ukiloweka kwenye maji kama ni nyeusi maji yatabadilika na Kuwa meusi inavyochuja.
Brand tele tele, kama zara, polo, tommy, jeep, boss nakadhalikaCardet brand gan?
Jumla unauzaje kuanzia pc ngap?