Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Aina ya Jeep
4b61379080a1abf521c3e34e86a4acc6.jpeg
20180928_213739.jpeg
 
Og 23 na kawaida 25 mbona sijakuelewa vile all in all hizo zpo vzr sana!
Soma vizur, kuna kadet aina mbili za kuvutika na zisizo vutika amabazo za kuvutika ni 25,000 na za kawaida namaanisha zisizo vutika ni 23,000 kama mvaaji kadet utakua umenielewa vizur zaidi
 
Kama nimekuelewa hizi za kuvutika ndo zile hazipauki haraka lakini za kawaida zinapauka nadhani. Hebu sema uko wapi nipitie kukagua mzigo nadhani nitahitaji nyeusi blue na khaki
 
Hapana kadeti zangu zote ni original,hazipauki haraka tofautisha na zile za buku 10 za kariakoo wanazo weka chini machinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom