Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

20181027_153846.jpeg
20181027_152021.jpeg
 
Kama nimekuelewa hizi za kuvutika ndo zile hazipauki haraka lakini za kawaida zinapauka nadhani. Hebu sema uko wapi nipitie kukagua mzigo nadhani nitahitaji nyeusi blue na khaki
Za kuvutika ni kama za mpira mpira hivi, yaani ukikivuta kitambaa kinatanuka na ukikiachia kinarudi. Zisizovutika ukikivuta kitambaa chake hakitanuki, labda ukilazimisha sana uishie kuchana tu, ila vitambaa vya kadet hua ni vigumu.

Chukulia mfano ilivyo Shati la kawaida na fulana ya kawaida, waonaje tofauti yake ukivuta?
 
dawa ya kupauka kadet, sidhani kama kuna dawa hiyo wala ya kupauka kwa nguo yoyote
Kadet zimezidi Mkuu ,unaweza kununua suruali ya kitambaa sawa na kadet lakini ya kitambaa inaweza kudumu miaka minne ila ,kadet mwaka tu imepauka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom