Nauza suruali za kadeti

Ni hiviii[emoji91] [emoji91] mkuu hutajuta. Ukichanganya na huu mvuto mzigo 2days umeisha
[emoji1] [emoji1] aisee hata mim naona hapo kwel, kama usaili umepita kwa kishindo
 
 

Attachments

  • 20171223_201819.jpeg
    16.9 KB · Views: 76
  • 20171223_201907.jpeg
    16.5 KB · Views: 73
Neno Original naona Limeingiliwa na wahuni Mimi Kadeti zangu nanunua

Tsh. 115,000/= hadi Tsh. 126,000/= Pale Woolworth na Springfield hizi fua Ufuavyo hazijuji Kizembe , sasa nashangaa mtu anasema kadet Original Sh. 23,000/= hii Ukiloweka kwenye maji kama ni nyeusi maji yatabadilika na Kuwa meusi inavyochuja.
 
Sawa mzee wa lumumba wewe hata ungenunua million 1
Ungeona watu wanalalamika hapa, kama huna ishu ya msingi tulia tu sio lazima uchangie
 
Una deliver kuanzia PC ngapi kwa dar? Gharama za usafiri si juu yako?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…