Kichwa cha maada chajieleza kwa anaehitaji ani pm haraka coz mnajua jinsi gani walivyo adimu. Napatikana kibaha pwani nawauza size ya kati 15000 na wakubwa 20000
Igekuwa bora kama ungeweka na ni breed gani unayouza, igekusaidia sana kuleta wateja kwa wingi
Kingine je waweza tengeneza nyama choma (sungura meat) in that way u get more money than selling them live
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.