shamali Senior Member Joined Jul 6, 2013 Posts 186 Reaction score 56 Aug 3, 2013 #1 Jaman sina jinsi ya kuwapata wamiliki wa filam bongo lakini nna stori inayoweza kuchezeka na ina mvuto.
Jaman sina jinsi ya kuwapata wamiliki wa filam bongo lakini nna stori inayoweza kuchezeka na ina mvuto.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,768 Aug 7, 2013 #2 stori ni moja, au unazo nyingi?? tunaomba maelezo kidogo, na pia uko wapi? usisahau bei, maana wana jf hawapendi usumbufu wa kupiga sim.
stori ni moja, au unazo nyingi?? tunaomba maelezo kidogo, na pia uko wapi? usisahau bei, maana wana jf hawapendi usumbufu wa kupiga sim.