Nauza simu yangu Nokia X2-02

Nauza simu yangu Nokia X2-02

Mkuu shukrani kwa yote uliyonena , hapa unanishauri niiuze kwa ngapi? Manake kama kuperuzi internet sio tatizo katika speed .
Nipe namba yako inbox nikutafute kesho. Nitakua pande za k/koo
 
Habari za wakati huu wapendwa , binafsi nimeyumba kiuchumi hivyo nimeamua kuuza angalau simu yangu ili nipate pesa niizungushe nipate kiasi kikubwa zaidi , kama unahiitaji ni pm .
NOKIA X2-02 ni simu imara sana unaweza kuitumia takribani miaka 8 bila kuharibika kitu chochote na inatunza chaji kwa muda mrefu .

BEI NI 45000/= maongezi yapo.
nitumie numba yako inbox
 
Ipo 25 Mkuu leo leo,
 
Ushirombo ndio mkoa gani ipo? Ni tofauti na Rombo Kilimanjaro?

We Dola iddy laana za kumla mamako Mdogo zimeanza Kazi hata Kama alitaka mwenyewe umle
 
Ipo Geita wilaya ya Bukombe mji wa ushirombo,
Mkuu tuachane na hayo mambo , wakati wake umekwisha isha.
 
Habari za wakati huu wapendwa , binafsi nimeyumba kiuchumi hivyo nimeamua kuuza angalau simu yangu ili nipate pesa niizungushe nipate kiasi kikubwa zaidi , kama unahiitaji ni pm .
NOKIA X2-02 ni simu imara sana unaweza kuitumia takribani miaka 8 bila kuharibika kitu chochote na inatunza chaji kwa muda mrefu .

BEI NI 45000/= maongezi yapo.
Picha mkuu condition yake ipoje
 
Ipo Geita wilaya ya Bukombe mji wa ushirombo,
Mkuu tuachane na hayo mambo , wakati wake umekwisha isha.
Duh kumbe hadi wabantu hadi miji yenu inafanana kwa majina... Ila rombo imeendelea na inapendeza sijui huko geita... Ndipo uwanja Wa ndege Wa kimataifa unajengwa sio...Chatle international Airport
 
Back
Top Bottom