Nauza simu yangu Nokia X2-02

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,120
1,510
Habari za wakati huu wapendwa , binafsi nimeyumba kiuchumi hivyo nimeamua kuuza angalau simu yangu ili nipate pesa niizungushe nipate kiasi kikubwa zaidi , kama unahiitaji ni pm .
NOKIA X2-02 ni simu imara sana unaweza kuitumia takribani miaka 8 bila kuharibika kitu chochote na inatunza chaji kwa muda mrefu .

BEI NI 45000/= maongezi yapo.
 
This world is too busy more than we think.
Hivi ungeongeza details kama vile bei n.k ungepunguza maswali kwa mhitaji.
Mtu mwingine hana nia na kitu unachokitangaza ila ukiweka bei akiona inamridhisha na kwamba hata akitoa pesa hatayumbisha mfuko huweza kununua.
 
Nimesha iupdate nimeweka bei.
 
Mkuu soma hapo kwenye NETWORK ndipo utagundua hiyo simu haina 3g.... Mwaka 2017 utumie simu isiyo na 3g kweli??
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-24-18-03-16.png
    Screenshot_2017-03-24-18-03-16.png
    76.4 KB · Views: 42

Similar Discussions

Back
Top Bottom