Tuongee kuhusu mitandao ya simu Bongo. Changia mada Tafadhali

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,301
Reaction score
6,119
hello bosses ka,a kichwa kinavyosema, Uzi huu nmeufungua ili tuongelee khs maendeleo ya mitandao yetu ya simu. Mimi naona mitandao yetu hii bado iko nyuma sana hada katika kumatch na speed ya technology ya dunia ya sasa.

Mfano kwenyr upande wa ussd codes mfano kwa voda *149*01# hii inakupa menu ya vifurushi na services mbalimbali za voda. Lkn tatizo ni lwamba mtandao huu hauruhusu shortcuts za moja kwa moja mfano kama nkisha bofya *149*01# inabidi tena nichague mfano namba 1 thn namba 2 thn namba 4 lkn kwa mitandao ya uganda mfano mtn hada ya India hio process yotenaweza kui dial moja kwa moja kwa kupiga *149*01*1*2*4#.

Yaan hapo nmeunganisha options zangu kwenye string moja baada ya *149*01

Kamakuna mtu ambae anajua jinsi ya kufanya hii shortcut naomba anielimishe lkn nmefanya sana utafiti mtandaoni ila sijafanikiwa.

Mtag telecommunication engineer yyt plz

Karibuni
 
ulichosema ni kweli hakuna mtiririko kama huo lakini VODACOM wanayo ya vifurushi vya mda wa maongezi mf.unataka kifurushi shortcut unabonyeza ( *149*60*1000# Hapo tayari huna haja ya kubonyeza *149*01#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je sh

Je shortcut ya mpesa kama vle kutuma pesa ipo au??
 
Tatizo wanabadilisha menyu kila kukicha...... Pia kumbuka Menu za mtandao kama VODACOM huzo zinatofautiana Kanda hadi kada (Manda ya ziwa, kanda ya Mashariki, kanda ya Kaskazin, kanda ya kusin, kanda ya kati)

Mfano mtu DSM akikalili 149*01*02#, akienda Arusha akabinyeza hivyo ataletewa vitu vingine tofauti.
 
Okky nmekupata mkuu
 
Back
Top Bottom