Kupiga chini system ya Nokia Lumia 2520

Kupiga chini system ya Nokia Lumia 2520

syllae

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,793
Reaction score
1,926
Habari zenu wadau
Niende kwenye lengo. Ninahitaj kwa anaefahamu jinsi ya Kupiga chini system ya Nokia Lumia ambayo window ake unafny kazi Kam window za kawaida Yaan 8.0 ila hii ni RT.
Hii window haikubar kuingiza program ambayo IPO nje ya store yao Kam ilivo kwenye simu za Lumia.
Msaada tafadhari

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom