Nauza simu ya infinix note 2

Nauza simu ya infinix note 2

Hii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Godfrey kwenye ubora wako
 
Pumbavu
 
Yani ad police kuja kuelewa nimezungushwa kama tiala kila sehemu niwaoneshe uyobmwanafunzi me ninawaambia npo serious sijampa mimba mwanafunzi nlitaka tu kuuza simu alaka awaelew wamekuja kuelewa muda huu baada ya kuwaambia kama wakimpata uyo mwanafunzi wanaelazmisha nimempa mimba nisifungwe miaka 30 waninyonge kabisa kabisa ata leo leo

Mbona kuna post inasema umetudishwa polisi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom