balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,153
Kusema tuu haitoshi lazima kuwe na corroboration ya ushahidi mwingineAmesema mwenyewe kuwa ametoa hela
Kusema tuu haitoshi lazima kuwe na corroboration ya ushahidi mwingineAmesema mwenyewe kuwa ametoa hela
HahahahahahahahahahAna alaka alaka sana ndiyo maana walimzungusha kama tiala
Kweli dah sa itakuajeUsingeandika kwenye uzi kama umetoa hela mkuu....usijechomeshwa kwa watu wa TAKUKURU humu kama ulivyopelekwa police
Hakua kitu kama hchoUsingeandika kwenye uzi kama umetoa hela mkuu....usijechomeshwa kwa watu wa TAKUKURU humu kama ulivyopelekwa police
Dah napata faraja angalauKusema tuu haitoshi lazima kuwe na corroboration ya ushahidi mwingine
Hivi mkuu hata mtu aki-plea guilty bado wanahitaji corroboration ee...me nimeshasahauKusema tuu haitoshi lazima kuwe na corroboration ya ushahidi mwingine
Edit ufute....utaingia tena kwenye matatizoKweli dah sa itakuaje
Hahahaa alitaka kukupiga..msimu wa sikukuu huu.Ndio ivyo nimemshangaa kinoma kanibadilikia kabisa akajifanya tunajuwana
Mbona sioni sehemu ya ku editEdit ufute....utaingia tena kwenye matatizo
Namba yake ninayo sema sijui ata chakumfanyaHahahaa alitaka kukupiga..msimu wa sikukuu huu.
Amin nakuambia, kama ni usalama au polisi. Wengi humu wagekua wameshakamatwa.
Huyo ni Jambazi tu alitaka kukupiga !!!
Ungemkomesha hapo alipokufikisha central , naww umsomeshe namba.
Kwan namba yake ya simu huna??? Waivo ndo wakufanya Mwaka mpya ,auonee akiwa central.
Usiogope, wala usiogope ... Najua kilichoendelea ndio kilichokulaximisha utolewe pesa.Kweli dah sa itakuaje
Unavyo ongea kama vile ulikuopo uko sahihi kabisa we umejuaje?Usiogope, wala usiogope ... Najua kilichoendelea ndio kilichokulaximisha utolewe pesa.
Ulikua unatafuta pesa, sina hakika sana kama wee ndo umetoa pesa kwa kutaka..bali wamekulazimisha.
Usiwe mwoga, polis sometime niyetu sote !!!
Umechek me nmepata matatizoJf ni burudani nzuri kushinda match ya liver na man u au madrid na barca. nimecheka sana kwenye huu uzi
lete id yake hapa si mlianziana private lazima unaijua id yakeNamba yake ninayo sema sijui ata chakumfanya
basi pole sana mkuuUmechek me nmepata matatizo
Hamn sikuanza nae private sema kweny hule uzi nlikosea nikaweka namba ya simu ivyo akawa ananicheki mtu yoyotelete id yake hapa si mlianziana private lazima unaijua id yake
Ok , unashindwa hata kumfedhesha humu????Namba yake ninayo sema sijui ata chakumfanya
Usiogope, wala usiogope ... Najua kilichoendelea ndio kilichokulaximisha utolewe pesa.
Ulikua unatafuta pesa, sina hakika sana kama wee ndo umetoa pesa kwa kutaka..bali wamekulazimisha.
Usiwe mwoga, polis sometime niyetu sote !!!