Nauza simu ya infinix note 2

Nauza simu ya infinix note 2

Kama wamemlazimisha hakutakiwa kutoa na yeye angewafikisha police hahahahahahahahahah
Aaaahhh mtoto wa baba, unajua ukipatwa na tatizo akili inahaha,,, ukizingatia jamaa kaona atapigwa miaka 30 kwa kitu chauongo ..so ilo hajalifikiria.

Ila sasa sababu ameshapata imani na nguvu mpya, ndo muda wa kudeal nao iyo pesa wairudishe !!

Nasiku izi ,wanaoogopa sanaa
 
Kwa hiyo atafute afisa wa TAKUKURU ee....aka-claim hela yake... Lakini ajue aliyetoa na aliyepokea wapo sambamba
 
Ok so nisingepata iyo pesa ningefungwa?
Hapana usingefungwa, wangekuachia ila ungelala central.
Iyo pesa wamekupiga bure tuuu. Na usongetoa wangekulaza ili wakupime km utatoa hela au lah.

Maana hawana sababu ya kukushikilia ..nabahat mbaya alokupeleka kwao hawamjui nahajaaapan maelezo toshelezi yoyote ya kukumata.

Wamekupiga tu bure..sikukuuu hiii
 
Kwa hiyo atafute afisa wa TAKUKURU ee....aka-claim hela yake... Lakini ajue aliyetoa na aliyepokea wapo sambamba
Ilo ndo jambo la msingi.

Yeye hakutoa kwa mapenzi.

Bali amelazimishwa kutoa tena kwa kutishiwa !!!.

Sasa ndo hao polisi wampe Risti ya Faini alopigwa .

Watahaha hao ,maisha yamewabana mnoo
 
Katika post za kipumbavu ni ile ulioweka, na sikuzote principal ya biashara usioneshe unashida kiasi gani sikuzote wateja huchukulia advantage kwako, ila pole yako
Tangazo linasemaje mkuu sijaliona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom