Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
- Thread starter
- #21
Kweli kakaMrejesho![]()
Mlejesho![]()
Dogo ndo ujifunze hapa JF kuna Wanajeshi, Police na maafisa usalama mbalimbali kwaiyo unapo andika uzi uwe unazingatia mambo haya
Kweli kakaMrejesho![]()
Mlejesho![]()
Dogo ndo ujifunze hapa JF kuna Wanajeshi, Police na maafisa usalama mbalimbali kwaiyo unapo andika uzi uwe unazingatia mambo haya
Kweli kaka dah nlikuwa pabaya sanaAisee sema nilikwambia kwa lile tangazo lako lazima yangekukutaa
Shukran unachosema ndio kilichotokea wengi walitaka kujinufaisha wakijua tatz ni lakwelKatika post za kipumbavu ni ile ulioweka, na sikuzote principal ya biashara usioneshe unashida kiasi gani sikuzote wateja huchukulia advantage kwako, ila pole yako
Alaka alaka aina balakaYani ad police kuja kuelewa nimezungushwa kama tiala kila sehemu niwaoneshe uyobmwanafunzi me ninawaambia npo serious sijampa mimba mwanafunzi nlitaka tu kuuza simu alaka awaelew wamekuja kuelewa muda huu baada ya kuwaambia kama wakimpata uyo mwanafunzi wanaelazmisha nimempa mimba nisifungwe miaka 30 waninyonge kabisa kabisa ata leo leo
Kabisa kaka nimekomaAlaka alaka aina balaka
= HujuiUjui kusoma au?
Nilijua tu lazima ukutane na hayo uliyokutana nayo....ila usilaumu maana umeyatakaHii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu
Kwani wewe HUNAJUWA KUHANDIKA?Ujui kusoma au?
Kituletea, x =kutuleteawatoto wa facebook wanakuja jf wengi kituletea tabia za ajabu
KweliNilijua tu lazima ukutane na hayo uliyokutana nayo....ila usilaumu maana umeyataka
Alaka= harakaYani ad police kuja kuelewa nimezungushwa kama tiala kila sehemu niwaoneshe uyobmwanafunzi me ninawaambia npo serious sijampa mimba mwanafunzi nlitaka tu kuuza simu alaka awaelew wamekuja kuelewa muda huu baada ya kuwaambia kama wakimpata uyo mwanafunzi wanaelazmisha nimempa mimba nisifungwe miaka 30 waninyonge kabisa kabisa ata leo leo
Hakuna KTU kzur kusoma kama kusoma sheria hat certificateYani ad police kuja kuelewa nimezungushwa kama tiala kila sehemu niwaoneshe uyobmwanafunzi me ninawaambia npo serious sijampa mimba mwanafunzi nlitaka tu kuuza simu alaka awaelew wamekuja kuelewa muda huu baada ya kuwaambia kama wakimpata uyo mwanafunzi wanaelazmisha nimempa mimba nisifungwe miaka 30 waninyonge kabisa kabisa ata leo leo
Ahahahahaaha unsanifiwa na maneno kama ulivyoandika na wewe unaona sawa tu... ALAKA ALAKA HAINA BALAKA.... (Haraka Haraka haina Baraka)Kabisa kaka nimekoma
SawaAlaka= haraka
SawaHakuna KTU kzur kusoma kama kusoma sheria hat certificate
Angalu basi u-bush lawyer AND COMMON SENSEHakuna KTU kzur kusoma kama kusoma sheria hat certificate
Una GUTS za kusahihisha… ahahahahahahahaaKituletea, x =kutuletea
SawaAhahahahaaha unsanifiwa na maneno kama ulivyoandika na wewe unaona sawa tu... ALAKA ALAKA HAINA BALAKA.... (Haraka Haraka haina Baraka)
Siku nyingine usipende kujiingiza kwenye matatizo ya kujitakia mkuuKweli